Mamlaka ya forodha ya Japani imetaifisha tani zaidi ya 3 za dawa zilizopigwa marufuku mnamo 2025, idadi kubwa zaidi tangu 2019. Ulikuwa ni utaifishaji wa pili mkubwa zaidi wa dawa hizo nchini humo ...